Share

Jeshi la Polisi limejipanga kuimarisha ulinzi maeneo yote nchini wakati wa uchaguzi.

Share This:

Jeshi la Polisi limejipanga kikamilifu kuimarisha ulinzi katika maeneo yote nchini kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama ili kuhakikisha kuwa taifa letu linapita salama katika kipindi hiki cha kupiga kura, kuhesabu na kutangaza matokeo ya uchaguzi.

Leave a Comment