Share

JESHI LAKAMATA SILAHA 50 KATIKA KAMBI YA WAKIMBIZI “HII INAUA TEMBO TU”

Share This:

Serikali Mkoani Katavi imefanikiwa kukamata silaha 50 zilizokuwa zinamilikiwa kinyume na sharia na baadhi ya wakimbizi wakihutu waliopewa uraia wa Tanzania kwenye Makazi ya Mishamo na Katumba, katika operation maalum maarufu kama safisha Katumba na Mishamo 2020 iliyofanyika kwa siku 21 katika makazi hayo.

Leave a Comment