Share

‘Jiji la Dodoma ni kati ya majiji ambayo yanaweza kuongoza kwa vituko’- Mbunge Cecil Mwambe

Share This:

Leo Bungeni Dodoma Mbunge wa Kibakwe, George Simbachawene amewasilisha azimio la kumpongeza Rais Magufuli kwa uamuzi wa kuendeleza mji wa Dodoma na kuupa hadhi ya Jiji. Baada ya uwasilishaji wa azimio hilo mmoja wa wabunge waliopata nafasi ya kujadili azimio hilo ni mbunge wa Ndanda (CHADEMA), Ceci Mwambe

Leave a Comment