Share

JINSI WEMA SEPETU ALIVYOWEKEWA ULINZI MAHAKAMANI

Share This:

Msanii wa filamu, Wema Sepetu amerejeshewa dhamana yake katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kusota gerezani kwa siku 7 ambapo amefikishwa mahakamani hapo akiwa chini ya Ulinzi wa Magereza.

Leave a Comment