Share

John Carter 90 : Mzee ni wewe

Share This:

Wazee wetu wengi wakitimiza miaka 90 hujiondoa kutoka shughuli nyingi lakini sio kwa babu huyu John Carter.!
Carter anapenda Baseball, kukimbia kuteleza kwenye theluji kuendesha baiskeli kwa kasi na kuogelea ! #JohnCarter #BBCSWahili #Afya

Leave a Comment