Share

JOTO LA UCHAGUZI, LIPUMBA AMEFUNGUKA KUHUSU KUSHIRIKIANA NA VYAMA VINGINE

Share This:

Wakati joto la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa likipanda ambao unatarajiwa kufanyika Septemba 24, 2019, Mwenyekiti wa CUF, Prof.Ibrahim Lipumba amewataka wananchi wasiokuwa vitambulisho kwenda na watu wanaowafahamu katika vituo vya kupigia kura.

Leave a Comment