Share

JPM ALIVYOWAKA KUHUSU MAKONTENA KUCHELEWA

Share This:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza katika bandari ya Mwanza kusini inapojengwa meli mpya na ukarabati wa meli mbili MV Victoria na MV Butiama

Katika ziara hiyo rais Magufuli ametoa siku nne kwa wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano kuhakikisha kontena 58 zilizokwama bandarini zenye vifaa vya ujenzi wa meli mpya inayojengwa ziwa Victoria yenye uzito wa tani zaidi ya 3000 pamoja na chelezo

“Mmesema zimekaa zaidi ya siku 30 zinasubiri nini na mimi nataka vifaa vifike hapa,nataka umpigie katibu mkuu wako umwambie vifaa vinafika lini” Rais Magufuli

Leave a Comment