Share

JPM ‘Nimeumizwa sana, Vifo 13, poleni Mkuu wa JWTZ na wa JKT’

Share This:

Rais Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa RC Mbeya Amos Makalla kufuatia vifo vya watu 13 wakiwemo vijana 11 wa JKT waliokuwa wakisafiri kutoka Tabora kwenda Mbeya baada ya basi walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kupinduka ktk eneo la Mwansekwa, Mbeya.

Leave a Comment