Share

Juhudi Za Kupambana Na Uvuvi Haramu Mwanza

Share This:

Viongozi wa madhehebu ya dini mkoani Mwanza wameiomba serikali kuongeza nguvu katika zoezi la kudhibiti uvuvi haramu katika ziwa Viktoria ili kuimarisha ustawi wa jamii ya kanda ya ziwa.

Leave a Comment