Share

Juhudi za kutokomeza ukeketaji nchini Guinea

Share This:

Ukeketaji wa wanawake ungali changamoto kubwa nchini Guinea. Mwanadada Hadja Idrissa ambaye ni mwathiriwa lakini sasa amejigeuza kuwa mwanaharakati dhidi ya utamaduni huo anashirikiana na wenzake kupambana na changamoto hiyo. Tazama zaidi kwenye vidio hii ya Vijana Mubashara 77Asilimia

Leave a Comment