Share

Juhudi za kuzima moto Israel zaendelea. Papo kwa Papo. 25.11.2016

Share This:

Juhudi za kuzima moto Israel zaendelea, waziri mkuu Netanyahu asema hiyo ni aina mpya ya ugaidi, Colombia yakutiliana saini mkataba wa amani na maafisa nchini kenya wafikishwa mahakamani kwa ufisadi.

Leave a Comment