Share

JUMATATU 14 MAY, 18 KATIKA KIPINDI CHA DAKIKA 45

Share This:

3:05 USIKU Katika DAKIKA 45 Leo mtangazaji wako Deogratius Rweyunga atakuwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Usimamizi wa Shughuli za Bima nchini Dk. Baghayo Abdallah Saqware wakizungumzia shughuli za mamlaka,changamoto wanazokumbana nazo ili kutoa haki kwa wateja,mawakala wa bima na pia makampuni yatoayo huduma za bima nchini.Ni sehemu ya pili.

Leave a Comment