Share

JUMATATU 14 MAY, 18 MEZA HURU

Share This:

9:00 ALASIRI Fuatilia kipindi cha MEZA HURU kinachoangazia masuala motomoto yanayogusa jamii.Mada ya leo ni“Homa ya Ini -Hepatitis”.Unakaribishwa kupiga simu namba 0767 444701 na uweze kutoa maoni yako na pia shiriki kwa kutoa dukuduku lako ukitumia mitandao ya kijamii.

Leave a Comment