Share

Juni 13, ni siku ya kimataifa kuhusu Albino

Share This:

Leo tarehe 13 Juni ni siku ya kuhamasisha ulimwengu kuhusu ulemavu wa ngozi ualbino. Umoja wa Mataifa umetenga siku hii kama sehemu ya kuhimiza juhudi za kuwalinda albino kwa kupunguza ukatili dhidi ya watu wenye ulemavu huu na pia kuhakikisha wanapata fursa sawa katika jamii kama elimu, haki na afya. 13.06.2018

Leave a Comment