Share

JWTZ imeanza kuwapa mafunzo wanafunzi wa form six waliosoma sayansi

Share This:

Makao makuu ya jeshi la wananchi Tanzania JWTZ kupitia shule ya mafunzo ya awali ya kijeshi RTS Kihangaiko imeanza kutekeleza mpango maalumu wa kuwatambua na kuwapa mafunzo kamili ya kijeshi vijana wote wanaonekana kufanya vizuri katika mitihani yao ya kidato cha sita mchepuo wa sayansi ili baadae waweze kuandikishwa na kulisaidia jeshi katika utendaji wake hususani katika vitengo nyeti.

Leave a Comment