Share

Kabila kutowania tena urais

Share This:

Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ametangaza kutogombea katika uchaguzi ujao uliopangwa kufanyika mwezi Desemba mwaka huu. Amemteua aliyewahi kuwa waziri wa Mambo ya ndani Emmanuel Ramazani Shadary ambaye kwa sasa ni katibu mkuu wa chama tawala.

Leave a Comment