Share

Kabila la Mura laapa kuilinda Amazon

Share This:

Watu wa kabila la Mura wanaoishi katikati ya msitu wa Amazon huko Amerika Kusini wameapa kuyalinda makaazi yao. Haya ni licha ya kitisho cha wakulima, ukataji wa miti na moto unaouchoma msitu huo kwa wiki kadhaa sasa.

Leave a Comment