Share

Kaburi la Pancho likiandaliwa kijijini kwao Msingisi Gairo

Share This:

Uchimbaji wa kaburi ukiendelea kwaajili ya kujakuuhifadhi mwili wa marehemu Pancho Latino kijijini kwao Msingisi Gairo. Mtajarishaji huyo wa muziki alifariki jizi jioni kwa ajali ya maji akiwa katika kisiwa cha Mbudya jijini Dar es salaam.

Leave a Comment