Share

Kama una mpango wa kununua hisa za Vodacom, kuna hii Good News

Share This:

Leo April 19 2017 Mkurugenzi wa Mawasiliano na uhusiano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia amekutana na waandishi wa habari na kuzunguma kuhusu kuongeza muda wa kuuza hisa za Vodacom

Leave a Comment