Share

KAMANDA MUROTO HAJAWAACHA SALAMA MATAPELI “TUMEANZA MWAKA HIVO”

Share This:

Jeshi la Polisi mkoani Dodoma linawashikilia watuhumiwa wanne kwa makosa ya wizi wa hati za viwanja, kubadili ramani za mpango mji na kuuza viwanja kwa njia ya utapeli, Kamanda wa Polisi Gilles Muroto leo amezungumza na Waandishi wa habari ofisini kwake na kueleza namna walivyowakamata watuhumiwa hao.

Leave a Comment