Share

“Kamari ilifilisi mtaji wangu wa mahindi” JB AFICHUA MAOVU YAKE

Share This:

Msanii wa filamu Jacob Stephan JB amefunguka kueleza sababu ya biashara yake ya mahindi kufa na kuanza kutangatanga mtaani kutafuta kazi ya kufanya. Mwigizaji huyo ameyasema hayo Jumamosi hii katika tamasha la Amka Kijana lililokuwa na lengo la kuwatoa vijana vijeweni na waende kufanya kazi.

Leave a Comment