Share

Kamati ya kuchunguza kiini cha mgogoro Mererani yakabidhi ripoti kwa waziri wa Madini.

Share This:

Kamati maalum iliyoundwa na serikali kuchunguza kiini cha mgogoro wa mipaka ndani ya machimbo ya madini ya Tanzanite ya Mererani wilayani Simanjiro mkoani Manyara uliodumu kwa zaidi ya miaka 15 imekamilisha ripoti yake na kuikabidhi kwa waziri wa madini Mhe.Dotto Biteko huku ikiomba hatua za haraka zichukuliwe kutatua mgogoro huo.

Leave a Comment