Share

Kamati Ya Kuhamasisha Serengeti Boys Yanena

Share This:

Mwenyekiti wa kamati ya kuhamasisha Timu ya vijana ya Serengeti Boys Charles Hillary amesema zaidi ya bilioni moja zinahitajika katika kuiwezesha timu hiyo kufanya vizuri michuano fainali za vijana barani Afrika.

Leave a Comment