Share

Kampeni za ngono salama Cameroon

Share This:

Mradi wa “All In” yani kila mmoja ndani, ulianzishwa mwaka 2015 nchini Cameroon ukiwa na lengo la kuwahamasisha vijana na sekta za afya na elimu kupambana na kuenea kwa maambukizi ya virusi vya HIV miongoni mwa vijana.

Leave a Comment