Share

Kassim Mganga adata na mauno ya warembo wa Kenya uzinduzi wa Tripple S

Share This:

#Solemba

Kassim Mganga aka Gwiji alivyodatishwa na mauno ya warembo kutoka Kenya waliohudhuria uzinduzi wa project yake mpya Tripple S ambayo ndani yake ina ngoma tatu ikiwemo Solemba.

Leave a Comment