Share

“Kati ya Wagonjwa 38 tuliyonao wagonjwa 25 wanajitambua”.Aminiel Aligaesha-Muhimbili.

Share This:

#MUBASHARA.

Mkuu wa kitengo cha Habari na Mawasiliano hospitali ya Taifa Muhimbili Bwana Aminiel Aligaesha ametoa mrejesho wa hali za majeruhi wa ajali ya moto waliohamishiwa Muhimbili.

Leave a Comment