Share

Katibu Mkuu CHADEMA Na Wenzake Sita Washikiliwa Na Polisi

Share This:

Jeshi la polisi mkoani Ruvuma linamshikilia katibu mkuu wa CHADEMA Dr Vicent Mashinji na viongozi wengine sita kwa kosa la kufanya maandamano bila kibali.

Leave a Comment