Share

Katibu Mkuu wa CHADEMA kawekwa ndani saa 48 leo

Share This:

Baada ya kuenea kwa taarifa ambazo hazijathibitika katika mitandao ya kijamii kuwa katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA DR Vincent Mashinji amekamatwa na Polisi akiwa katika ratiba yake ya kuendelea kukagua shughuli za kichama Mbamba Bay. Dr Mashinji imethibitishwa na msemaji wa CHADEMA Tumaini Makene kuwa amekamatwa akiwa na Mbunge wa Jimbo la Ndanda Cecil Mwambe, Mbunge wa viti maalum mkoa wa Ruvuma Zubeda Sakuru.

Leave a Comment