Share

“Katika hili hatuwezi kupiga hatua kama taifa”-Hussein Bashe

Share This:

Mbunge wa Nzega mjini Hussein Bashe wakati akichangia mapendekezo ya mpango wa maendeleo wa taifa unaokusudiwa kutekelezwa na Serikali pamoja na mwongozo wa kuandaa mpango wa bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2019/20 ameitaka Serikali kujitazama upya katika vigezo vya kujipima katika kuwasaidia wananchi wake ikiwemo katika sekta ya kilimo.

Leave a Comment