Share

Katika mfumo wetu wa elimu tuna mfumo ambao umekaa katika mfumo wa pembe tatu-Dk.Ayoub Kafyulilo

Share This:

“Katika mfumo wetu wa elimu tuna mfumo ambao umekaa katika mfumo wa pembe tatu, unaanza na wanafunzi wengi ambao wanaingia katika mfumo wa elimu lakini kadri unavyopanda juu, wanafunzi wanaofika juu ni wachache sana”-Dk.Ayoub Kafyulilo – Mtaalam wa Masuala ya Elimu – UNICEF.

Leave a Comment