Share

KAULI YA DKT BASHIRU KUHUSU JPM KUKABIDHIWA UENYEKITI SADC

Share This:

Katibu mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally akiwaongoza viongozi wa vyama vya siasa vilivyokombia nchi za kusini mwa Afrika SADC kutembelea ujenzi wa chuo cha uongozi cha mwalimu Nyerere Kibaha mkoa wa pwani kinanachojengwa na wachina

Chuo hicho ni cha pamoja cha vyama vyote tawala vilivyopatiwa uhuru nchi zao kama CCM,ZANU PF,ANC,FRELIMO,RENAMO na vingine

viongozi hao wapo katika mkutano wa nchi wanachama wa SADEC unafanyika jiji Dar es salaam chini ya Mwenyekiti wake Dr John Magufuli Rais wa Tanzania

Leave a Comment