Share

Kauli ya Mufti Mkuu Tanzania kwa wanaopiga mziki wakati wa kufuturisha

Share This:

Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubeiry amewahasa Waislamu na wasio Waislamu kuzingatia maadili wakati wa kufuturisha katika Mwezi mtukufu wa Ramadhani hasa kwa kuacha kufanya mambo yanayokiuka misingi ya dini.

Leave a Comment