Share

Kauli ya Prof. Maghembe kuhusu tatizo la mikopo ya wanafunzi “msitoe peke yenu”

Share This:

Mbunge wa Mwanga Prof. Jumanne Maghembe ameitaka Serikali kuangalia upya mfumo wake wa utoaji wa mikopo kwa wanafunzi wa Vyuo vikuu kutokana na kuwepo kwa kasoro nyingi katika mfumo uliopo sasa na kusababisha wanafunzi kukosa stahiki zao na kuwasababishia kukosa elimu bora.

Leave a Comment