Share

Kauli ya Spika Ndugai kwa Wabunge wanaojichubua

Share This:

Spika wa Bunge Job Ndugai amepiga marufuku kwa Wabunge wote kutoingia Bungeni wakiwa na kope bandia na kucha Bandia, lakini pia amesema anaendelea kukusanya maoni kuhusu wale wanaojichubua ngozi zao ili nalo alifanyie maamuzi.

Spika Ndugai amesema hayo kutolewa hoja ya madhara yatokanayo na kucha pamoja na kope bandia iliyotolewa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile

Leave a Comment