Share

Kemikali na mitindo ya nywele inavyopelekea wanawake kuishiwa nywele kichwani

Share This:

Kemikali za kupaka kichwani na mitindo ya ususi inayopelekea nywele kuvutwa inavyo athiri wanawake hasa katika nchi za Afrika. Baadhi hufanyiwa upandikizaji wa nywele kichwani ili kurejesha mwonekano wao.

Leave a Comment