Share

Kenya gizani – Wakenya walalama mitandaoni.

Share This:

Maeneo mbali mbali Kenya jana jioni waliathiriwa na kukatika kwa umeme. Wakenya walielekeza malalamishi yao mitandaoni huku wakiikejeli kampuni ya umeme Kenya, KPLC.

Leave a Comment