Share

Kenya: Je utumiaji wa tarakilishi utawapa wanawake wafungwa fursa mpya?

Share This:

Idadi ya wafungwa ambao wanaorejea kwenye tabia za uhalifu ni vigumu kuonekana katika nchi kadhaa barani Afrika, lakini nchini Kenya takwimu zinaonesha kwamba asilimia 80% ya wafungwa hurejea magerezani.
Mjasiriamali mmoja nchini Kenya anabadilisha mtindo huo kwa kutumia teknolojia.
Wafungwa katika gereza moja kuu la wanawake wanapata mafunzo ya kompyuta.
Taarifa ya mwandishi wa BBC DHRUTI SHAH inawasilishwa na Nasteha Mohammed.

Leave a Comment