Share

Kenya tayari kwa uchaguzi

Share This:

Kenya yakamilisha maandalizi ya uchaguzi utakaofanyika kesho, hali nchini Venezuela yazidi kuwa tete baada ya shambulizi dhidi ya kambi ya kijeshi na Timu ya soka ya wanawake ya Uholanzi, yachukua ubingwa wa michuano ya Euro. Papo kwa Papo:07.08.2017

Leave a Comment