Share

Kenya yaamua

Share This:

Tume huru ya uchaguzi na mipaka Kenya IEBC, imemtangaza Uhuru Kenyatta kuwa mshindi katika kiti cha urais. Kenyatta ataongoza kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.

Leave a Comment