Share

Kenya yaanza zoezi la kura za mchujo

Share This:

Kundi la magaidi la Dola la Kiislamu ladai kuhusika na shambulio la mjini Paris Ufaransa. Hali bado ni tete huko Venezuela, maandamano ya kuipinga serikali yakipamba moto. Na Kenya yaanza zoezi la kura za mchujo ndani ya vyama.

Leave a Comment