Share

Kenya yatahadharisha mripuko wa Kipindupindu Nairobi

Share This:

Rais Donald Trump anafanya ziara ya kwanza nje ya nchi katika mataifa ya Mashariki ya kati na Ulaya. Wairan wanapiga kura kumchagua rais hii leo. Na Kenya yatahadharisha mripuko wa Kipindupindu jijini Nairobi. Papo kwa Papo 19.05.2017.

Leave a Comment