Share

Kenya yawazuiliwa Wachina watatu kwa kumiliki nyara kadhaa

Share This:

Mamlaka nchini Kenya zinawazuilia raia watatu wa China pamoja na Mkenya mmoja ambao wanadaiwa kumiliki kinyume na sheria bidhaa za wanyamapori kama vile pembe za ndovu.

Leave a Comment