Share

KESI YA AVEVA KUFUTWA?: Mahakama yapanga kusikiliza hoja za serikali

Share This:

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga September 18, kusikiliza hoja za upande wa mashtaka kuhusu ombi la upande wa utetezi kutaka kufutwa kesi ya utakatishaji fedha Dola za Kimarekani 300,000 inayomkabili aliyekuwa Rais wa Klabu ya Simba Evance Aveva na Makamu wake, Godrey Nyange.

Leave a Comment