Share

KESI YA CHADEMA: MWALIMU ATOA USHAHIDI “VIDEO INA UKAKASI”

Share This:

Mshtakiwa wa Tatu katika kesi inayowakabili viongozi tisa wa CHADEMA, Salum Mwalimu ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa ushahidi wa Video uliotolewa mahakamani hapo kutoka Upande wa Mashitaka ulikuwa na ukakasi.

Ushahidi huo wa Video ulitolewa na shahidi wa sita wa Upande wa Mashitaka, koplo Charles.

Salum Mwalimu ambaye pia ni Naibu katibu Mkuu wa chama hicho ameyaeleza hayo wakati akiongozwa na Wakili wa Utetezi, Peter Kibatala mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi.

Leave a Comment