Share

KESI YA WATOROSHA DHAHABU NA ASKARI WA RUSHWA BILIONI 1 MAHAKAMANI

Share This:

Leo February 11, 2019 Kesi ya watuhumiwa 12 wakiwemo wafanyabiashara wanne wa dhahabu na askari Polisi nane waliotaka rushwa ya Bilioni1 imeahirisha hadi February 25, 2019.

Leave a Comment