Share

Kiboko aliyesumbua wananchi apigwa risasi, Mpanda

Share This:

Kikosi cha askari wa mamlaka ya usimamizi wa wanyama pori nchini -TAWA wa kituo cha Rukwa (RUAFI) wamefanikiwa kumuua mnyama aina ya Kiboko katika operesheni maalum inayoendeshwa na kikosi hicho aliyesadikiwa kuua baadhi ya watu na kuharibu mazao ya wananchi katika bwawa la Milala katika kata ya Misunkumilo manispaa ya Mpanda.

Leave a Comment