Share

Kifo cha Floyd: Wamarekani weusi wasema ‘hawako salama’

Share This:

Maelfu ya watu wameendelea na maandamano katika maeneo mbalimbali nchini Marekani baada ya kifo cha George Floyd.

Mwanaume huyo, 46, ambaye hakuwa amejihami, alifariki mjini Minneapolis baada ya polisi wenye asili ya weupe kutumia mguu wake kumkandamiza Floyd na kumuua.

BBC imezungumza na Wamarekani weusi ambao wanasema wanahofu kuhusu usalama wao.

#bbcswahili #Marekani #georgeFloyd

Leave a Comment