Share

“Kifo cha Kanumba ni kikubwa kuliko Hukumu ya Lulu” – Rose Ndauka

Share This:

Mwigizaji wa Filamu Tanzania Rose Ndauka amedai kuwa kifo cha Kanumba ni kikubwa kuliko Hukumu ya kuua bila kukusudia aliyopewa Mwigizaji Lulu, Rose kayazungumza hayo kwenye Exclusive Interview na AyoTV na millardayo.com

Leave a Comment