Share

“Kifungo cha Lulu ni fundisho tosha” – STEVE NYERERE

Share This:

Staa kutokea Bongo movie Steve Nyerere kadai kwamba kifungo cha Mwigizaji Lulu ni fundisho tosha kwa kila mtu na kilichobaki ni kusubiri miujiza kama itatokea ya kumuhurumia na kumuachia huru Mwigizaji huyo.

Leave a Comment