Share

Kijana Amka ya Bongo Movie yamkosha DC Kasesela

Share This:

Mkuu wa Wilaya ya Iringa Edward Kasesela amesema kampeni mpya ya Amka kijana ya wasanii wa filamu imeuja wakati sahihi wa kuwakomboa vijana ambao walikuwa wanatumia muda mwingi kufanya vitu vya ajabu mitandaoni.

Leave a Comment